All curriculum designs
Junior Secondary
Grade 7 Kiswahili curriculum design
The strands and sub-strands in the KICD design, in teaching order, with the suggested number of lessons for each. Checked by two teachers. The first sub-strand is shown in full.
- Strands
- 11
- Sub-strands
- 40
- Lessons a week
- 4
1.0 Usafi wa Kibinafsi
- 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessonsFree sample
Learning outcomes
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji wa mazungumzo
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mazungumzo
- kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo
- kuchangamkia kushiriki mazungumzo katika miktadha mbalimbali
Key inquiry questions
- Je, unaposikiliza mazungumzo unapaswa kuzingatia nini ili kupata ujumbe unaowasilishwa?
- Unazingatia nini unapomjibu mtu katika mazungumzo?
Learning experiences
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mazungumzo
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mazungumzo
- kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali huku akizingatia vipengele vya kuboresha usikilizaji wa mazungumzo
- kusikiliza na kujibu mazungumzo ipasavyo
- kuigiza mazungumzo (k.v. ya simu) kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mazungumzo
- kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mazungumzo
- 1.2 Kusoma2 lessons
- 1.3 Kuandika2 lessons
- 1.4 Sarufi2 lessons
2.0 Lishe Bora
- 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
- 2.2 Kusoma2 lessons
- 2.3 Kuandika2 lessons
- 2.4 Sarufi2 lessons
3.0 Uhuru wa Wanyama
- 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
- 3.2 Kusoma2 lessons
- 3.3 Kuandika2 lessons
- 3.4 Sarufi2 lessons
4.0 Aina za Maliasili
- 4.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
- 4.2 Kusoma2 lessons
- 4.3 Kuandika2 lessons
- 4.4 Sarufi2 lessons
5.0 Sarufi
- 5.1 Nyakati na Hali2 lessons
- 5.2 Vinyume2 lessons
- 5.3 Kutambua na kutumia aina mbalimbali za maneno1 lesson
- 5.4 Kutambua na kutumia viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi1 lesson
- 5.5 Kutambua viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia upatanisho wa kisarufi1 lesson
- 5.6 Kutambua vinyume vya nomino na vivumishi1 lesson
- 5.7 Kutambua na kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali1 lesson
- 5.8 Kutambua na kutumia sentensi sahili na ambatano1 lesson
- 5.9 Kutambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na kukanusha maneno1 lesson
- 5.10 Kutambua na kutumia nomino katika hali ya ukubwa1 lesson
- 5.11 Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa1 lesson
6.0 Unyanyasaji wa Kijinsia
- 6.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
7.0 Usalama Shuleni
- 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
8.0 Kuandika
- 8.1 Barua Rasmi ya Kuomba Msamaha2 lessons
- 8.2 Kutumia viakifishi mbalimbali1 lesson
- 8.3 Kuandika aina mbalimbali za insha za kubuni1 lesson
- 8.4 Kuandika aina mbalimbali za insha za kiuamilifu1 lesson
9.0 Majukumu ya Watoto
- 9.1 Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo/Ishara2 lessons
10.0 Magonjwa Ambukizi
- 10.1 Kusikiliza kwa Makini2 lessons
11.0 Kusoma
- 11.1 Kusoma kwa ufahamu1 lesson
- 11.2 Kusoma kwa kina1 lesson
- 11.3 Kusoma kwa ufasaha1 lesson
- 11.4 Kusoma kwa mapana1 lesson
- 11.5 Kutambua vipengele vya ufupisho na kufupisha matini1 lesson
63 suggested lessons in all. Sign in to read the learning outcomes, key inquiry questions and learning experiences for the other 39 sub-strands.
Share on WhatsAppPlan your Grade 7 Kiswahili lessons
Elimu drafts your Grade 7 Kiswahili scheme of work from this design, fitted to your term dates and timetable, then a lesson plan for any sub-strand in one tap. Free to start.