All curriculum designs

Junior Secondary

Grade 9 Kiswahili curriculum design

The strands and sub-strands in the KICD design, in teaching order, with the suggested number of lessons for each. Checked by two teachers. The first sub-strand is shown in full.

Strands
15
Sub-strands
60
Lessons a week
4

1.0 Usafi wa Mazingira

  1. 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
    Free sample

    Learning outcomes

    • kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala
    • kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala
    • kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kuchangia mijadala
    • kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali

    Key inquiry questions

    • Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?

    Learning experiences

    • kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala
    • kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala
    • kusikiliza au kutazama mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali
    • kueleza vipengele vya kusikiliza na kuchangia mjadala vilivyozingatiwa katika mjadala aliosikiliza
    • kushiriki mjadala kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake akizingatia vipengele vifaavyo vya mjadala
  2. 1.2 Kusoma2 lessons
  3. 1.3 Kuandika2 lessons
  4. 1.4 Sarufi2 lessons

2.0 Mazoezi ya Viungo vya Mwili

  1. 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 2.2 Kusoma2 lessons
  3. 2.3 Kuandika2 lessons
  4. 2.4 Sarufi2 lessons

3.0 Utunzaji wa Wanyama

  1. 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 3.2 Kusoma2 lessons
  3. 3.3 Kuandika2 lessons
  4. 3.4 Sarufi2 lessons

4.0 Utunzaji wa Maliasili

  1. 4.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 4.2 Kusoma2 lessons
  3. 4.3 Kuandika2 lessons
  4. 4.4 Sarufi2 lessons

5.0 MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

  1. 5.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 5.2 Kusoma2 lessons
  3. 5.3 Kuandika2 lessons
  4. 5.4 Sarufi2 lessons

6.0 USALAMA BARABARANI

  1. 6.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 6.2 Kusoma2 lessons
  3. 6.3 Kuandika2 lessons
  4. 6.4 Sarufi2 lessons

7.0 HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII

  1. 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 7.2 Kusoma2 lessons
  3. 7.3 Kuandika2 lessons
  4. 7.4 Sarufi2 lessons

8.0 MISUKOSUKO YA KIJAMII

  1. 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 8.2 Kusoma2 lessons
  3. 8.3 Kuandika2 lessons
  4. 8.4 Sarufi2 lessons

9.0 MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA

  1. 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 9.2 Kusoma2 lessons
  3. 9.3 Kuandika2 lessons
  4. 9.4 Sarufi2 lessons

10.0 KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

  1. 10.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 10.2 Kusoma2 lessons
  3. 10.3 Kuandika2 lessons
  4. 10.4 Sarufi2 lessons

11.0 HAKI ZA KIBINADAMU

  1. 11.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 11.2 Kusoma2 lessons
  3. 11.3 Kuandika2 lessons
  4. 11.4 Sarufi2 lessons

12.0 MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

  1. 12.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 12.2 Kusoma2 lessons
  3. 12.3 Kuandika2 lessons
  4. 12.4 Sarufi2 lessons

13.0 MSHIKAMANO WA KIJAMII

  1. 13.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 13.2 Kusoma2 lessons
  3. 13.3 Kuandika2 lessons
  4. 13.4 Sarufi2 lessons

14.0 MATUMIZI YA KODI

  1. 14.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 14.2 Kusoma2 lessons
  3. 14.3 Kuandika2 lessons
  4. 14.4 Sarufi2 lessons

15.0 MAADILI YA KITAIFA

  1. 15.1 Kusikiliza na Kuzungumza2 lessons
  2. 15.2 Kusoma2 lessons
  3. 15.3 Kuandika2 lessons
  4. 15.4 Sarufi2 lessons

120 suggested lessons in all. Sign in to read the learning outcomes, key inquiry questions and learning experiences for the other 59 sub-strands.

Share on WhatsApp

Plan your Grade 9 Kiswahili lessons

Elimu drafts your Grade 9 Kiswahili scheme of work from this design, fitted to your term dates and timetable, then a lesson plan for any sub-strand in one tap. Free to start.